
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili toka Nchini Tanzania, Sarah Byera aliyezaliwa 1984 huko Mkoani Kagera, Bukoba.
Ambaye pia alikuwa mwimbaji wa Bendi ya Kakau Bukoba, Kwaya ya BCC na Kapotive Star Singers- Bukoba, Sasa ametoa Album yake yenye nyimbo 9 Audio na Video.
Album hiyo ya Video yenye Nyimbo tisa ambazo ni 1.Tegemeo langu 2.Tujunangane 3.Jesus Christ 4.Yesu chakula changu 5.Bwana mchungaji wangu 6.Okwendana 7.Dunia 8. Uhimidiwe 9.Rugaba.
Album hiyo kwa sasa ipo madukani.
.jpg)
No comments:
Post a Comment