Sunderland walipata Bao la Kwanza katika Dakika ya 26 Mfungaji akiwa Connor Wickham na Fabio Borini kufunga kwa Penati ya Dakika 45 iliyosababishwa na Rafu kwa Connor Wickham toka kwa Juan Cala ambae alitolewa nje kwa Kadi Nyekundu.
Emanuele Giaccherini aliifungia Sunderland Bao la Tatu katika Dakika ya 76 na Connor Wickham kupachika Bao la 4 katika Dakika ya 86.
Wickham CHUPUCHU afunge bao...mpira uligonga posti
Patashika langoni!!
Wickham akishangilia bao lake
Wickham akipongezwa na Sebastian Larsson
No comments:
Post a Comment