
Diamond Platnum amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali wa levo za kimataifa mara baada ya kuchukuwa tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA).

Diamond kanyakuwa tuzo zifuatazo:-
Msanii bora wa kiume.
Video bora ya mwaka.
Mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume.
Wimbo bora wa Mwaka.
Mtunzi bora wa mwaka kizazi kipya.
Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana.

Msanii bora chipukizi ameshinda Young Killer.
Wimbo bora wa zouk mshindi ni @JideJaydee
Mshindi wimbo wa Afro pop ni @diamondplatnumz -mynumber1
Mshindi wimbo bora wa Dance hall ni Chibwa- Nishai.
Mshindi wimbo bora wa reggae ni Dabo.
Wimbo bora Taarab mshindi ni Mzee Yusuph -Wasiwasi wako.
Kikundi bora cha mwaka cha Taarab mshindi ni Jahazi modern taarab.
Mwimbaji bora wa kike Taarab, mshindi ni Isha Ramadhan.
Mwimbaji bora wa kiume Taarab, mshindi ni Mzee Yusuph.
Wimbo bora wa kiswahili bendi, mshindi ni Mashujaa bendi -Ushamba mzigo.
Mwimbaji bora wa kiume bendi, mshindi ni Jose Mara.
Rapa bora wa mwaka bendi, mshindi ni Furguson.
Bendi bora ya mwaka, mshindi ni Mashujaa bendi.
Muimbaji bora wa kike kizazi kipya, mshindi ni @JideJaydee.
Muimbaji bora wa kiume kizazi kipya, mshindi ni @diamondplatnumz.
Kikundi bora cha mwaka muziki wa kizazi kipya, washindi ni kundi la Weusi.
Wimbo bora wa R&B, mshindi ni Vanessa Mdee -Closer.
Wimbo bora wa HIP HOP, mshindi ni Nikki wa pili - Nje ya box.
Msanii bora wa HIP HOP, mshindi ni @FidQ.
Wimbo bora wa kushirikiana, mshindi ni Ney wa mitego Ft @diamondplatnumz -Muziki gani.
Wimbo bora wa Afrika Mashariki, mshindi ni Jose Chamilione- Tubonge.
Mtunzi bora wa mwaka Taarab, mshindi ni Mzee Yusuph.
Mtunzi bora wa mwaka bendi, mshindi ni Christian Bella.
Mtunzi bora wa mwaka kizazi kipya, mshindi ni@diamondplatnumz.
Mtunzi bora wa mwaka HIP HOP, mshindi ni @FidQ .
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka bendi, mshindi ni Amoroso.
Mtayarishaji bora wa muziki kizazi kipya, mshindi ni Man Water.
Tuzo ya heshima (Hall of fame), amepewa msanii Hassan Bitchuka.
Hall of fame (Institution), amepewa mtangazaji mkongwe Masoud Masoud.
Video bora ya muziki ya mwaka, mshindi ni @diamondplatnumz .
Video bora ya muziki ya mwaka, mshindi ni @diamondplatnumz -My number one.
Wimbo bora wa mwaka, mshindi ni @diamondplatnumz- My number one.
Hadi sasa msanii @diamondplatnumz , anaongoza kwa kuchukua jumla ya tuzo 5.
Tazama orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.
Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond
Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee
Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond
Muimbaji bora wa kike taarab
Isha Ramadhan
Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara
Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu
Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q
Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer
Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson
Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani
Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band
Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Kizazi kipya
Man Walter
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Bendi
Amoroso
Mtunzi Bora wa Mwaka – Taarab
Mzee Yusuf
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi
Christian Bella
Wimbo bora wa Kiswahili – Bendi
Ushamba Mzigo – Mashujaa Band
Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe – Dabo
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Wimbo bora wa Afro Pop
Number One – Diamond
Wimbo bora wa Taarab
Wasiwasi Wako – Mzee Yusuf
Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako
Wimbo Bora wa R&B
Closer – Vanessa Mdee
Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond
Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai – Chibwa f/ Juru
Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya – Lady Jaydee
Hall of FAME Award
Hassan Rehani Bichuka
Masoud Masoud – TBC Taifa
No comments:
Post a Comment