Sherehe ya kuwapongeza maharusi Mohamed na Bilqis waliofunga ndoa huko Daes salaam 24-4-2014 imefanyika Nyumbani kwa Bw. Salumu Mawingu Kamachumu Muleba, hakika watu kutoka maeneo mbalimbali walifika kuwapongeza.
Baba mzazi wa bwana harusi B w Salumu Mawingu (kulia)
Umati mkubwa wa wageni waliofika kamachumu
Bw Salumu akiwa na mama yake mzazi
Shekhe Haruna Kichwabuta akiwasili akiwa na Majid Kichwabuta
Shekhe Mustafa Sadick akiwa na Shekhe Kichwabuta
Bw na Bi harusi wakiwasili
Bi harusi
Balozi Kagasheki akiteta na mmoja wa mashekhe walioudhuria
Bw salumu akiwa na Bw salehe kutoka oman
Ongereni sana mumgu awabariki katika maisha mapya ya ndoa
No comments:
Post a Comment