Atletico sasa wamebakisha Mechi mbili sawa na Barca na wapo kileleni wakiwa Pointi 3 mbele ya Barca lakini Real wana Mechi mbili mkononi na wakishinda hizo wataikamata kwa Pointi Atletico huku Mechi zikibaki mbili kwa kila Timu.
Moja ya Mechi hizo mbili ni ule mtanange huko Nou Camp kati ya Barcelona na Atletico Madrid katika Siku ya mwisho ya La Liga.
RATIBA/MATOKEO
Jumapili Mei 4
UD Almeria 3 Real Betis 2
Levante 2 Atletico de Madrid 0
20:00 Sevilla FC v Villarreal CF
22:00 Real Madrid 2 v Valencia 1*
Jumatatu Mei 5
23:00 Real Sociedad v Granada CF
No comments:
Post a Comment