Moddy akiwa akimvisha pete mkewe
Muonekano wa ukumbi ulipendeza sana
Akaibusu pete
Keki ikatendewa haki
Wakarishana keki
Ilikuwa imetulia sana sana Wadada na Wakaka walipendeza sana
Mkao katika ukumbi
Karibu chakula mme wangu
Mama Moddy (mwenye nguo ya njano) akikaribisha wageni
Ilikuwa imetulia sana sana Wadada na Wakaka walipendeza sana
Mkao katika ukumbi
Bi Shamira mshereshaji wa shughuli nzima
Moddy na mkewe wakitinga ukumbini
Sitaki upate shida mke wangu
Inapendeza sana
Picha ya pamoja na dada zake
POZZ
Mama Moddy
Kijana mtata Chichi
Keki ikatendewa haki
Wakarishana keki
Akaibusu pete
Kamama akiwa na Murungi
Mama Mwainunu akicheka na camera yetu
Wa mama walipendeza
Mama Bingwa
Mama na mwana
Mama na Mwana
Karibu chakula mme wangu
Mashangazi wamependeza...
Tunawatakia maisha mema
No comments:
Post a Comment