BUKOBA SPORTS

Sunday, October 5, 2014

CHELSEA 2 vs 0 ARSENAL, EDEN HAZARD NA DIEGO COSTA WAIPATIA USHINDI BLUES NA KUIPAISHA ZAIDI KILELENI!! KOCHA JOSE NA WENGER WAKWARUZANA TENA!!!


Diego Costa  akishangilia bao  lake la pili la dakika ya 78 kipindi cha pili...
Chelsea wameendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu England walipoichapa Arsenal Bao 2-0 huko Stamford Bridge hii Leo.Chelsea's Diego Costa celebrates scoring their second goal with John Obi MikelDiego akipongezwa..Arsenal's Santi Cazorla reacts during their English Premier League soccer match against Chelsea at Stamford Bridge
Santi Cazorla hoi!
Arsenal's Alex Oxlade-Chamberlain
Yale yale!!!Arsenal manager, Arsene Wenger & Chelsea Manager, Jose Mourinho argue & push & shove each other in the technical area
Mechi hii ilichelewa kuanza kwa Dakika 15 kwa sababu za kiusalama baada ya baadhi ya Mashabiki kurusha Fataki kabla Mechi haijaanza.Arsenal manager, Arsene Wenger & Chelsea Manager, Jose Mourinho argue & push & shove each other in the technical area
Na ilipoanza ikatosha rabsha baada ya Mameneja wa Timu hizo, Jose Mourinho na Arsene Wenger, kukwaruzana wakati Wenger alipochukizwa baada ya Mchezaji wake Alexis Sanchez kuchezewa Rafu na Gary Cahill ambae alipewa Kadi ya Njano na Refa Martin Atkinson.
Arsenal manager, Arsene Wenger & Chelsea Manager, Jose Mourinho argue & push & shove each other in the technical area
Chelsea walilazimika kumbadili Kipa wao Courtois katika Dakika ya 24 na kumwingiza Petr Cech baada ya Kipa huyo kugongana na Alexis Sanchez muda mfupi kabla.
Arsenal manager, Arsene Wenger & Chelsea Manager, Jose Mourinho argue & push & shove each other in the technical area
Chelsea walifunga Bao lao la kwanza katika Dakika ya 27 kwa Penati ya Eden Hazard iliyotokana na Laurent Koscienly kumchezea Rafu Hazard na kupewa Kadi ya Njano.
Fourth Official Jonathan Moss comes between Managers Arsene Wenger of Arsenal and Jose Mourinho
Dakika ya 77, bonge la Pasi ndefu ya Fabregas mbele ilishushwa kifuani na Diego Costa na kukabiliana na Kipa Szczesny na kumvisha kanzu kuandika Bao la Pili kwa Chelsea.
Wenger na Jose wakifokeana...Eden Hazard of Chelsea scores the opening goal from the penalty spot Eden Hazard akifunga penati..Chelsea's players celebrate Belgian midfielder Eden Hazard's opening goalWachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kupata bao la kuongoza lililofungwa kwa penatiEden Hazard anaipatia bao Chelsea kwa mkwaju wa penati katika kipindi cha kwanza dakika ya 27.Arsenal's English defender Calum ChambersPatashika zikiendeleaa.Alexies Sanchez ameanza kwa upande wa Arsenal

No comments:

Post a Comment