Nao Ivory Coast walizinduka wakiwa pungufu 10 Uwanjani na mchezaji wake Seydou Doumbia dakika ya 72 aliweza kusawazisha bao.
VIKOSI:
Guinea Kikosi kilichoanza
Yattara, Yattara, Camara, Pogba, Sylla, Keita, Traore, Fofana, Constant, Sankoh, Conte.
Ivory kikosi kilichoanza.
Gbohouo, Aurier, Kolo Toure, Bailly, Kanon, Yaya Toure, Tiote, Gonzaroua Die, Gervinho, Bony, Kalou.
Yattara akishangilia bao lake kwa Guinea usiku huu
Kipa wa Guinea Naby Moussa Yattara akiokoa shuti la mchezaji mpya wa Man City Wilfried Bony
Mashabiki wa Ivory Coast wakishangilia sare yao kwenye mitaa huku wakiwa wameshona kwenye Gari Dogo na wengine wakininginia.
No comments:
Post a Comment