BUKOBA SPORTS

Tuesday, January 27, 2015

CAPITAL ONE CUP - CHELSEA 1 vs 0 LIVERPOOL(Agg1-2) BRANISLAV IVANOVIC AIPA USHINDI BLUES DARAJANI! FAINALI NJIA NYEUPEE WEMBLEY

Tiketi ya Wembley tayari!!!!Branislav Ivanovic aliipachia bao dakika ya 94 Chelsea na kufanya 1-0(Agg1-2) dhidi ya Liverpool baada ya kuunganisha mpira wa kichwa wa adhabu wa frii kiki uliopigwa na Willian.Kipindi cha pili nacho kilimalizika 0-0 na kuongezwa dakika 30 za nyongeza.Diego Costa alimkanyaga mchezaji wa Liverpool na hapa kidogo kutokee matatizo..
Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0 richa ya timu zote mbili kukamina.VIKOSI:
Chelsea Wanaoanza:
Courtois, Ivanovic, Zouma, Terry, Filipe Luis, Matic, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa
AKIBA: Cech, Azpilicueta, Cahill, Ake, Ramires, Remy and Drogba
Liverpool Wanaoanza: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Lucas, Henderson, Moreno, Markovic, Gerrard, Coutinho, Sterling
AKIBA: Ward, Johnson, Lovren, Lambert, Lallana, Allen, Balotelli

USO KWA USO: MECHI 6 ZA MWISHO
January 2015: Liverpool 1-1 Chelsea
November 2014 : Liverpool 1-2 Chelsea (Premier League)
April 2014 : Liverpool 0-2 Chelsea (Premier League)
December 2013 : Chelsea 2-1 Liverpool (Premier League)
April 2013 : Liverpool 2-2 Chelsea (Premier League)
Chelsea vs Liverpool


Steven Gerrard akipasha kwenye Uwanja wa  Stamford Bridge  wakati wa mtanange wao  Liverpool wa Marudiano.
Gerrard kucheza Mechi hii  Capital One Cup marudiano

Mario Balotelli
John Terry
Kurt Zouma na JohnTerry wakipasha kabla ya Mtanange.

No comments:

Post a Comment