Bao la FC Porto lilifungwa dakika ya 73 na Jackson Martínez akipewa pasi na H. Herrera na kufanya 5-1. Xabi Alonso Aliwafunga bao la sita na kufanya mtanange kumalizika kwa bao 6-1 na jumla ya mabao kuwa 7-4. Kwa matokeo hayo Bayern Munich wanakwenda hatua ya Nusu Fainali.
Dakika ya 36 kipindi cha kwanza Thomas Müller aliipa bao la 4 Bayern Munich na kufanya bao jumla kuwa 5-3 baada ya kupata ushirikiano safi kutoka kwa Thiago Alcántara na kufunga bao hilo.
Thiago Alcântara kipindi cha kwanza dakika ya 14 aliwapatia bao la kuongoza baada ya kupata mpira kutoka kwa Juan Bernat.
Robo Fainali-Mechi za Marudiano
Jumanne Aprili 21
Bayern Munich vs FC Porto [Allianz Arena, Munich, Germany] (1-3)
Barcelona vs Paris Saint-Germain [Nou Camp, Barcelona, Spain] (3-1)
No comments:
Post a Comment