BUKOBA SPORTS

Monday, February 19, 2018

KAMALA CUP 2018: FULL TIME...BILELE FC 1 vs 3 RWAMISHENYE FC


Kikosi cha Timu ya Rwamishenye FC kilichoanza leo dhidi ya Timu ya Bilele Fc kwenye Ligi ya Kamala Cup 2018 iliyozinduliwa rasmi kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Kikosi cha Timu ya Rwamishenye FC  wakiomba kabla ya mchezo kuanza punde leo hii. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.

Mtanange ukiendelea...

Wachezaji wa Rwamishenye mpaka sasa wanaongoza kwa bao 2-0, Bao la kwanza likifungwa na Nady Khamis ambaye leo hii amevaa jezi namba 7 mgongoni. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.

Nady Khamis akipongezwa kwa bao
Raha ya Bao: Wachezaji wa Rwamishenye wakifurahia kupata bao la kwanza katika kipindi cha kwanza huku Bilele Fc wakiwa nyuma na wakiwa pungufu Uwanjani 10 baada ya mchezaji wao kuoneshwa kadi nyekundu. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.

No comments:

Post a Comment