PAUL POGBA AAMBIWA ATAANZIA BENCHI UEFA CHAMPIONS USIKU HUU DHIDI YA SEVILLA
Staa wa Manchester United Paul Pogba kwenye mtanange wa usiku huu dhidi ya Sevilla kapangwa kuanzia nje kwenye benchi. Ataingia wakati wa kipindi cha pili. Pogba alifanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Manchester United siku ya jumanne jana.
No comments:
Post a Comment